ALLY KAMWE ALITUSHAWISHI TUHAMIE YANGA/'5G YA YANGA INATUTISHA/INONGA,KRAMO WAMERUDI KAZI IPO-KIWALE

Hawa hapa mashabiki wawili wa Simba Sc Baba Mwana pamoja na Kiwale Simba ambao wamekuwa maarufu zaidi baada ya kukutana na Ofisa habari wa Yanga Ally Kamwe mara baada ya kutamatika kwa mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya JKT Tanzania na Ally Kamwe kuwashauri kuhamia Yanga

Wamefunguka leo kupitia Mpenja Tv na kusema wamefurahi kukutana na Ally Kamwe lakini wao hawawezi kuicha timu yao ya Simba Sc pia wamemwaga sifa kwa timu yao ya Simba mara baada ya kujerea kwa wachezaji wao Henock Inonga pamoja na Aubin Kramo .

Comments are closed.