JINSI YA KUIWEKA MAC OS KWENYE WINDOWS KOMPYUTA KWA KUTUMIA VMWARE



JINSI YA KUIWEKA MAC OS KWENYE WINDOWS KOMPYUTA KWA KUTUMIA VMWARE

JINSI YA KUIWEKA MAC OS KWENYE WINDOWS KOMPYUTA KWA KUTUMIA VMWARE

SOMO LA LEO TUNAENDA KUANGALI JINSI YA KUINSTALL MAC OS KWENYE VMWARE YA WINDOWS.
VITU VINAVYOHITAJIKA NI
KU DOWNLOAD VITU VINAVYOHITAJIKA
KUInstall VMwareKWENYE Windows PC
KUInstall VMware UnlockerYA macOS Sierra 10.12.6
KUTENGENEZA macOS Sierra Virtual Machine (VM)
KU EDIT VMX FileYA macOS Sierra VM (SIO LAZIMA)
KUInstall macOS Sierra KWENYE VMware
KU SET macOS Sierra Account Settings
KUInstall VMware Tools (SIO LAZIMA)
Download VMware Workstation Pro 15.5.x AU VMware Player 15.5.x.
https://www.vmware.com/au/products/workstation-pro/workstation-pro-evaluation.html AU
https://www.vmware.com/au/products/workstation-player/workstation-player-evaluation.html
Download VMware Unlocker ya macOS Sierra – https://github.com/paolo-projects/unlocker/archive/master.zip
Download macOS Sierra ISO – http://www.mediafire.com/file/4tr71kq855qcdxx/macOS_Sierra_10.12.6_%252816G29%2529.iso/file

code
smbios.reflectHost = “TRUE”
hw.model = “MacBookPro14,3”
board-id = “Mac-551B86E5744E2388”
smc.version = “0”

unatatizo lolote nipigie kwenye namba yangu
au nitumie meseji +255620857767